Selfika na JF: Snap it. Show it

Ewaaa

Ngoja sasa niongeze na scrub kwenye kaparachute kangu[emoji23]


Nkamu nielekeze na ya uso.
Tangu joto limezidi uso wangu umekuwa na mafuta[emoji3064]
Dark spots kibao...unakeraaa[emoji51]
 

umefanya kwa muda gani?

Hivi huwa hakuna dawa za kukata apetite? mimi kula napenda [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…