Selfika na JF: Snap it. Show it

Ooh vyema nimependa hii bora wawahi tu .
Bora kuwahi ila nayo changamoto wanakua na utoto mwingi mnoo!
yaani akili zao sasa bora huyu mkubwa mkimyaa !ila huyu wa pili mpk walimu wanasema kaahh!!kana utoto mwingi kushtaki mda wote,kulia, kulalamika hakuna mwl asomjua

Mwaka Jana alinambia mama mi kusoma baasi sitaki,kisa hasemi,nikamlazimisha akawa anajifanya mgonjwa sasa ikabidi ntumie mbinu kumuulizia kama walimu shuleni wakoje akanambia wakali wanapiga balaa...kumbe anaogopa fimboo
ikabdi niende shule niongee na walimu nkawaambia huyu ana 7yrs tu hapo yuko std 3 wakasema daahh!ndo maana basi anabehave kitoto siye tunajua tunadeal na mtu mkubwa
wakaanza kumtreat according to her age akaanza kupenda shuel
!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…