Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

JF!!!
JF!!!
JF!!!

nimeita mara 3. Nasema hivi hii app inakoelekea watu watatoana damu, mie yangu macho tyuuh.

Huu ni mtori, tunywe mchuzi, nyama ziko chini.
Ni angalizo tyuuh.
Kwani kuna habari gani?!![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Piganeni
Mshindi aje nimpe yoghurt

kama hamuwezi kupigana basi ishini kinafki. Kwani si ni life tu na process zake[emoji41]

Naingilia kumbe unanisema mie [emoji1787] waaa
Nitakujia ndotoni nikunyonge.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]kwa kweli maisha bila unaafiki hayaendi!!
Yaani sielewi ghafla naona hali ya hewa imechafuka

Nawaambia hivi kama vipi wanikodi miyee niwafurahishie mtu !!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom