Jibu si nne hapo au๐ง
Hii dhana au katabia ka jamii kumuona Mwanamke akifika umri fulani anastahili kuolewa ina sababisha ndoa za ajabu katika jamii yaani naolewa kwa sababu jamii itanichekaTeh kumbuka bongo mwanamke akifikisha miaka 30 hajaolewa anachukuliwaje? Na kwanini achukuliwe hivyo?
Aisee boss ledi huko kwako wote ni pisi kali tu yaani[emoji91]Anakusalimia sana!!View attachment 2166049
Last born kwetu huyo!!Aisee boss ledi huko kwako wote ni pisi kali tu yaani[emoji91]
Tuone na picha yako sasa ya leo
Aiseeee[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Last born kwetu huyo!!
Ni notions za watu wasiojielewa tu, sio kila mtu ataoa/ataolewa. Halafu kuna watu wana maamuzi yao tofauti na wengine, mbona wewe umesema kubanjuana sio mambo yako[emoji23]unataka tukuchukulie wa tofauti?Teh kumbuka bongo mwanamke akifikisha miaka 30 hajaolewa anachukuliwaje? Na kwanini achukuliwe hivyo?
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Anne wee ni chizi ujueAiseeee[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hii familia iliumbwa mapema kabisa baada ya chai[emoji91]
Kipenzi vipi tena jamaniiiโฆJF!!!
JF!!!
JF!!!
nimeita mara 3. Nasema hivi hii app inakoelekea watu watatoana damu, mie yangu macho tyuuh.
Huu ni mtori, tunywe mchuzi, nyama ziko chini.
Ni angalizo tyuuh.
๐ทโโ๏ธ๐ทโโ๏ธ๐ทโโ๏ธ Boga eeehJibu si nne hapo au๐ง
Boga moja la masika ๐
Jawabu ni simple,, don't give a damn,, olewa unapoona uko tayari,, usisikilize jamii inachosemaHii dhana au katabia ka jamii kumuona Mwanamke akifika umri fulani anastahili kuolewa ina sababisha ndoa za ajabu katika jamii yaani naolewa kwa sababu jamii itanicheka
Pole sana.. kama una date na boga ๐๐Boga moja la masika ๐
๐ฌmtaalam nimekokotoa hapo๐ทโโ๏ธ๐ทโโ๏ธ๐ทโโ๏ธ Boga eeeh
Na ndio maisha ninayo ishi japo wengi hawawezi hiliJawabu ni simple,, don't give a damn,, olewa unapoona uko tayari,, usisikilize jamii inachosema
Mimi mwenyewe ndiye bogaPole sana.. kama una date na boga ๐๐
Boga + Boga = ๐คฏ๐คฏ๐คฏ inasikitisha sanaMimi mwenyewe ndiye boga
Hesabu kama hizo mimi nafumba macho nikifumbua jibu lishapatikana๐ฌ๐๐๐๐๐ kichwa kingefuka hicho ๐๐
wenye vichwa. vyetu vya kihuni kihuni tumeishatoboa tundu la kutolea moshiView attachment 2166056
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ kwani yule โNnnโ ni boga? Hapana nakataaBoga + Boga = ๐คฏ๐คฏ๐คฏ inasikitisha sana
๐๐๐๐๐๐ na mie naonaHesabu kama hizo mimi nafumba macho nikifumbua jibu lishapatikana๐ฌ๐