Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha, nimetoa mfano tu mkuu. Kimasihara inakuja automatically, huwa haipangwi na sidhani mtu anaweza kutoa boko/kimasihara kila mwezi, na huwa wadada hawatoi kimasihara, ni anaamua kabisa kuwa nampa huyu...
Teh kumbuka bongo mwanamke akifikisha miaka 30 hajaolewa anachukuliwaje? Na kwanini achukuliwe hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…