CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,065
- 7,651
Mate what's wrong tena [emoji15]JF!!!
JF!!!
JF!!!
nimeita mara 3. Nasema hivi hii app inakoelekea watu watatoana damu, mie yangu macho tyuuh.
Huu ni mtori, tunywe mchuzi, nyama ziko chini.
Ni angalizo tyuuh.
Muji-hehe π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa unafiki km hatuwezi?
Tufanyaje?
[emoji16][emoji16][emoji16] wewe mteja mzuri sana, njoo uthamishe shamba lenyewe kwanza.. bei hatuwezi shindana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah wee ili iweje sasa.Muji-hehe [emoji41]
Kwanza unashindwaje kuwa mnafki karne hii ya 21? Uzembe huo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuwa mpoleee kwani.Mate what's wrong tena [emoji15]
Ma'am wamaanisha nn[emoji16][emoji16]Simple tu badilisheni mitazamo yenu juu ya huo utofauti (ambao hauna uhalisia) mliouweka kwenye ngono kati ya mwanaume na mwanamke! Vinginevyo endeleeni kulalamika kuwa mnabaniwa!
πππ mbona kama task za kijeshi hizi.. shamba nalihamishaje tena tajiri yanguMimi sina wasiwasi na wewe najua shamba litakua kwenye hali nzuri tu,we fanya delivery na hilo shamba kabisa[emoji3]
Kuendana na kasi ya mabadiliko ya tabia za nchi na wananchi wake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah wee ili iweje sasa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usinichekee kisa umeniona na parachichi
Hahaha, nimetoa mfano tu mkuu. Kimasihara inakuja automatically, huwa haipangwi na sidhani mtu anaweza kutoa boko/kimasihara kila mwezi, na huwa wadada hawatoi kimasihara, ni anaamua kabisa kuwa nampa huyu...Sasa kwa mtindo huo tukisema eti mwanamke ampe kimasihara kila mwanaume ambaye ni rafiki yake hadi kufikia miaka 30 unafikiri idadi itakuwa ni hiyo 10? Kwamba mwanamke hadi anafikia miaka 30 atakuwa na marafiki 10 tu wa kiume eti?
[emoji16][emoji16][emoji16] mbona kama task za kijeshi hizi.. shamba nalihamishaje tena tajiri yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] thubutuuu.Kuendana na kasi ya mabadiliko ya tabia za nchi na wananchi wake.
Sema kuna nini watu tuvae sura za kazi,, ili tuwaletee performance nzuri ya ugomvi,, maana nna muda sijapigana[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuwa mpoleee kwani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah wee lol.Sema kuna nini watu tuvae sura za kazi,, ili tuwaletee performance nzuri ya ugomvi,, maana nna muda sijapigana[emoji16]
HahahaaaKuendana na kasi ya mabadiliko ya tabia za nchi na wananchi wake.
π€£π€£π€£Sema kuna nini watu tuvae sura za kazi,, ili tuwaletee performance nzuri ya ugomvi,, maana nna muda sijapigana[emoji16]
Tupe point mngoni wewe[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah wee lol.
mjeda wa mchongo πππ usiniletee balaaa wenyewe wakaanza nisaka bure kina Lovelucky.. mie muhuni tu mmoja napambana na hali zangy[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kwani wewe sio mjeda?