Sirudii tena aisee. Hata sijui nilipatwa na nini yaani. Dogo kanyoa panki mwembamba kama Kokastiki mlegevu legevu jomonii tyuuh lakini akiikanyaga hii kitu weh!
Nitakutafuta aisee. RR kutoka Dar mpaka Mza mbona itapendeza mno? Thanks for the offer chief
Sandakarawe....
Mwenye kupata...
Mwenye kukosa....
Mitandao hii we acha tu...Akili za kuambiwa always changanya na zako
Hahahaaa eti kanyoa kiduku mzee.utakua ulipanicWelcome mzee wangu Tena utaisukuma wew mashine utoe hamu zote unaipiga fimbo kweri kweri in magu voice
Ila kuweni waangalifu jamani. Taifa na wapendwa wenu bado wanawahitaji sana...huyu dogo wa jana mpaka niliogopa yaani. I will never do that again
Hahaa! mm nacheki movie usingiz umesepaUsingizi hauji yaan
Mjinga ni ndemaKwa kinyaki mpumbavu ni "nkonyofu". Sijajua kama linatumika na kwa mjinga pia au inakuwa vipi maana kinyaki sijakimaster vizuri huwa naokotezaga tu baadhi ya maneno watu wakiongea.
Watoto wa kishua. Kawaida yao kutojua lugha zao za mama ipasavyo. Ni wajibu wetu kuwafundisha fundisha. Tusichoke!Mjinga ni ndema
Ntakuwa nakupiga msasa wa hii lugha
Tuliokulia vijijini tunaelewa.Watoto wa kishua. Kawaida yao kutojua lugha zao za mama ipasavyo. Ni wajibu wetu kuwafundisha fundisha. Tusichoke!
Tutakuja huko utakakokimbilia tukudabue kwa nguvu na kukurudisha hapa. Kwani ligi za Barabarani unaziweza mjukuu? Ukiachwa kwenye mavumbi si unaweza hata kulia?ila hadi babuuuh unaninangaa hivi.
Haya bhana, nitawaacha wenyewe humu, ntaenda kupambana na majukwaa mengine tyuuh.
Ina maana hata hilo neno "nkonyofu" halimo katika Kinyaki? Au lina maana nyingine?Tuliokulia vijijini tunaelewa.
Nkonyofu/mukonyofu ni mpumbavuIna maana hata hilo neno "nkonyofu" halimo katika Kinyaki? Au lina maana nyingine?
Nimekuelewa sana. Asante. Ulale sasaNkonyofu/mukonyofu ni mpumbavu
Ndema/mulema ni mjinga.
Si lugha yetu tunatumia m na u sanasana
Wao wanyakyusa wanaweka n.
Mabaharia huwa wanasema kuwa hainaga makombo. Hata kama walishapita naye so what? Kwani unataka kuoa? Si na wewe unapiga tu na kusepa unawaachia wanaokuja nyuma yako?Hongera mkuu umeandika kwa marefu na mapana yake, umegusa kila kona, kikubwa uzima tu lakini mapenzi ya huku ni pasua kichwa kweli, unaweza kupata mtu wako huku ukajivunia nae kumbe wadau wanakuchora tu walisha pita nae kitambo.
Ngoja tuendelee kuona , miji mikubwa hii!