Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,417
Sirudii tena aisee. Hata sijui nilipatwa na nini yaani. Dogo kanyoa panki mwembamba kama Kokastiki mlegevu legevu jomonii tyuuh lakini akiikanyaga hii kitu weh!Hahaha mzee wangu ukapiga salutehao vijana watakuua usikimbizane nao siku ukirudi bongo plz check me nikupeleke kwenu tutembee na ule mkeka
Tajiri Ni bakhresa pekee
😀😀😀 Mkuu bado hatujaingia kwenye kifungo cha ndoa.. hizi dk lazima tuzitumie inavyotakiwa haswaaa.. RR unyama sanaaa.. ni gari hasaaa navuta sana pumzi huenda nikaja kujibariki ila napenda SVR kwa ajiri ya kutimua mbioo maana ndio raha yangu gari isipo fika 240 naona kama nacheza cheza9.8ms squared na Fortnox mnakula maisha sana nyie madogo. Jana huyu mnyama niligongana naye mahali mpaka nikakubali tu yaishe halafu dereva mwenyewe mdogo tu yaani. Ila ilibidi afungue dirisha tukasalimiana angalau tulipofika mahali fulani. Heshima sana kwa RR
View attachment 2165535
Sandakarawe....Hongera mkuu umeandika kwa marefu na mapana yake, umegusa kila kona, kikubwa uzima tu lakini mapenzi ya huku ni pasua kichwa kweli, unaweza kupata mtu wako huku ukajivunia nae kumbe wadau wanakuchora tu walisha pita nae kitambo.
Ngoja tuendelee kuona , miji mikubwa hii!
hakupangi.. uwe na amani malkia 😊😊 hutojutia mamaaa la mamaaaUna nipanga likinikuta ili unicheke
Hahahaaa eti kanyoa kiduku mzee.utakua ulipanicSirudii tena aisee. Hata sijui nilipatwa na nini yaani. Dogo kanyoa panki mwembamba kama Kokastiki mlegevu legevu jomonii tyuuh lakini akiikanyaga hii kitu weh!
Nitakutafuta aisee. RR kutoka Dar mpaka Mza mbona itapendeza mno? Thanks for the offer chief
Uniote basi Nuzulati 😊😊View attachment 2165538
Kwa kweli wenye magari yao 😬
Ila kuweni waangalifu jamani. Taifa na wapendwa wenu bado wanawahitaji sana...huyu dogo wa jana mpaka niliogopa yaani. I will never do that againMkuu bado hatujaingia kwenye kifungo cha ndoa.. hizi dk lazima tuzitumie inavyotakiwa haswaaa.. RR unyama sanaaa.. ni gari hasaaa navuta sana pumzi huenda nikaja kujibariki ila napenda SVR kwa ajiri ya kutimua mbioo maana ndio raha yangu gari isipo fika 240 naona kama nacheza cheza
Safi sana hiyo.. Dar mwanza kwa Unyama wa RR.. ni 🔥🔥🔥🔥 uzuri huchoki kwenye hicho chumaHahaha mzee wangu ukapiga salutehao vijana watakuua usikimbizane nao siku ukirudi bongo plz check me nikupeleke kwenu tutembee na ule mkeka
Tuombe uzima bro. Mengine yote madogoHahahaaa eti kanyoa kiduku mzee.utakua ulipanicWelcome mzee wangu Tena utaisukuma wew mashine utoe hamu zote unaipiga fimbo kweri kweri in magu voice
😀😀😀 Ligi zina raha yake, huwa najikuta nikiona gari inakimbia lazima nikiwashe.. nakumbuka ligi yangu ya mwisho kulikuwa na TX na VX. R mbona walijuta kunifahamu 😀😀😀😀.. sema nilipata hasara ya Tyre na mafuta kuisha haraka.. chuma za mzungu labda collision ila sio kupinduka au kuacha njiaIla kuweni waangalifu jamani. Taifa na wapendwa wenu bado wanawahitaji sana...huyu dogo wa jana mpaka niliogopa yaani. I will never do that again
Tuko makini mzee wangu ondoa shaka tunacheza kwa stepIla kuweni waangalifu jamani. Taifa na wapendwa wenu bado wanawahitaji sana...huyu dogo wa jana mpaka niliogopa yaani. I will never do that again
🤗🤗🤗🤗😅😅kimasihara kushinei
Kwa kinyaki mpumbavu ni "nkonyofu". Sijajua kama linatumika na kwa mjinga pia au inakuwa vipi maana kinyaki sijakimaster vizuri huwa naokotezaga tu baadhi ya maneno watu wakiongea.Kinyaki mtu mjinga mnamwitaje? Kisukuma ni mbūūlī au ntumbasu
Duuuuh mnyama mkali mnooo. Aiseeeeh9.8ms squared na Fortnox mnakula maisha sana nyie madogo. Jana huyu mnyama niligongana naye mahali mpaka nikakubali tu yaishe halafu dereva mwenyewe mdogo tu yaani. Ila ilibidi afungue dirisha tukasalimiana angalau tulipofika mahali fulani. Heshima sana kwa RR
View attachment 2165535
Hongera mkuu umeandika kwa marefu na mapana yake, umegusa kila kona, kikubwa uzima tu lakini mapenzi ya huku ni pasua kichwa kweli, unaweza kupata mtu wako huku ukajivunia nae kumbe wadau wanakuchora tu walisha pita nae kitambo.
Ngoja tuendelee kuona , miji mikubwa hii!
Hulali leo kama mimikikubwa ni kukojozana, haina makombo wala haiozi. Uwiiiiih