Selfika na JF: Snap it. Show it

Duuh kumbe hili mbugila ni kingoni? Kuna mwalimu wetu mmoja mchaga alikuwa anapenda kusema "ninyi ni mambugila" kama akiuliza swali halafu darasa zima mkashindwa kujibu basi nikawa nadhani ni neno la kiswahili ila linatumika sana uchagani!
Labda aliishi ungonini huyo, au anakijua kingoni.
Mbugila ni mjinga/mpumbavu kwa kingoni.
 
Hii amapiano mpya ya platnumz Ni
View attachment 2165462
Amapiano naelewa sana hii versee

maana huwa tuna switch viwanja tu

Oya lagaligila (Fresh!)
Ifungwe counter ifungwe bar (Fresh!)
Si hatulali jama (Fresh!)
Na wakifunga tunahama (Fresh!) (Fresh!)

Oya lagaligila (Fresh!)
Ifungwe counter ifungwe bar (Fresh!)
Si hatulali jama (Fresh!)
Na wakifunga tunahama (Fresh!)
 
Maji mengi Kama mto rufiji tupige maji tu f**ck love,,, location: lock down iringa aisee Pana totoz Kama umeoa unaweza juta kwanini umeoa mapema 9.8ms squared
Ndio maana wapenzi wangu.. ni wahuduma wa ma bar, mama lishe na wengine kama hao.. sitaki pressure wala masimango kwa hawa wanao jiona warembooo..
 
Ukiona hutajwi tajwi JamiiForums jua si tu kwamba huna faida hapa duniani bali hata kule Sebuleni Kwake Baba Muumba ( Mungu ) pia hutambuliki na hauna Thamani yoyote.
 
That's my vesre bro it's lit
watoto wazuuuri Kama wameumbwa mchana wa leo lazma mmoja apande RR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…