Nenda kwenye ndoa kama wajibu, usiende kwa matarajio fulani, wakati mwingine matokeo yanakuwa tofauti sana na matarajio, ukikutana na matokeo tofauti na ulivyotarajia usijali.Bado sipo ..
Ila naona kabisa shughuli yake si ndogo , ni lifetime commitment hivyo inahitaji uvumilivu wa haja kwa wanawake .
Ukitaka mambo yaende vile unataka inabidi uchague moja kati ya mume au wewe kuondoka hapo .
Nikisoma na Mwanzo 3:6 napata majibu ...
Kisha akamwambia mwanamke, “Nitakuzidishia uchungu wa kuzaa, kwa uchungu utazaa watoto. Hata hivyo utakuwa na hamu na mumeo, naye atakutawala.”
Kama kawa wifi ake[emoji111][emoji111][emoji111]humu nimewamiss!
Ila see u kesho jmn watt Abiud km kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tayari mjukuu [emoji16][emoji16][emoji16]
Sina uwezo wa kumiliki Yutong kama hiyo mjukuu. I wish [emoji39][emoji39][emoji39][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cheki toto hilo daaaah, babuuh unafaidi mnoo.
Hatareeeh sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya bhana, kwan wee ni wakunyumba?[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1490][emoji1490][emoji1490][emoji1490]
Asante mwaya [emoji847] Nshaisave kwa matumizi ya baadae.
Goma lako hilo, acha kuzuga hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sina uwezo wa kumiliki Yutong kama hiyo mjukuu. I wish [emoji39][emoji39][emoji39]
Nenda kwenye ndoa kama wajibu, usiende kwa matarajio fulani, wakati mwingine matokeo yanakuwa tofauti sana na matarajio, ukikutana na matokeo tofauti na ulivyotarajia usijali.
Pia usikariri kwamba ndoa inakua hivi au vile kwa marejeo ya vitabu au ndoa za wazee wetu, nyakati zimebadilika mno.
Hata hivyo bado ndoa ni muhimu na nzuri pia.
Mimi ni nani mpaka nikubishie mjukuu wangu? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Goma lako hilo, acha kuzuga hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hapo sio misungwi ni huko mambelee.Mimi ni nani mpaka nikubishie mjukuu wangu? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
😎😎😎 Morena hapa.. utakua umeokoa sana jahazi.. awe ana kizi vigezo vyetu vile.. utafanya nisitoke kama anakujaSafi Sana tajiri mutoto upo hotel gani nikuagizie mtoto akufanyie massage
Kwamba hautaolewa?Sijasema ndoa ikoje maana siifahamu
Kwa nilivyoshuhudia acha tu niende na mtazamo wangu .. Najua ndoa ni nzuri mno pia ...
Na kweli ameniweka mapokezini hapo.. alafu mtu hamna..Nenda mkuu Hawa akina Heaven Sent Wana vipengele vingi
Dude sijasema hivyo ..Kwamba hautaolewa?
PoaDude sijasema hivyo ..
Hebu yaishe siwezi mabishano mimi
Nawaona nimewamissKama kawa wifi ake
😭😭😭 sawa tu naenda huko kitaaa.. naweza okota chochoteSi umeniignoo; mimi nikapigwa tu upepo hapo
[emoji848][emoji848]I am with you on this one bro...Tired of all the bs [emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 2165495
Weka sasa hivi. Hakuna mwenye hakika ya kuiona kesho!Nawaona nimewamiss
Ngoja niwaletee mshono wa kesho[emoji3][emoji3]!au nitaweka kesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh, kaka[emoji119]Weka sasa hivi. Hakuna mwenye hakika ya kuiona kesho!