Bado sipo ..
Ila naona kabisa shughuli yake si ndogo , ni lifetime commitment hivyo inahitaji uvumilivu wa haja kwa wanawake .
Ukitaka mambo yaende vile unataka inabidi uchague moja kati ya mume au wewe kuondoka hapo .
Nikisoma na Mwanzo 3:6 napata majibu ...
Kisha akamwambia mwanamke, “Nitakuzidishia uchungu wa kuzaa, kwa uchungu utazaa watoto. Hata hivyo utakuwa na hamu na mumeo, naye atakutawala.”