Maji mengi Kama mto rufiji tupige maji tu f**ck love,,, location: lock down iringa aisee Pana totoz Kama umeoa unaweza juta kwanini umeoa mapema 9.8ms squared
Sio kweli bwana.. vijana ndio wana hayo mambo.. ukiwapea tu wanajitangaza.. ila sie wazeee hatuna hizo tunamalizana kimya kimya.. nifungulie basi PM kwanza
Hehe halafu mwisho wa siku mwanamke anaitwa malaya while mwanaume anaitwa kidume! Hivi vichekesho vikogo kwenye haya mabara yetu ya giza tu Mungu Atusaidie sana kwa kweli!