Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji16][emoji16][emoji16]

Nifundishe kusema "We ni mjinga" ila kwanamna ambayo nikitabasamu mtu adhani namsifia [emoji85][emoji85]
Hahahaaa huo umafia umeanza lini [emoji1787][emoji1787]

Mie kingoni wala sikijui my dear ni hilo neno tu na ni vile kuna mabasi yanaendaga huko kusini yanaitwa tavavili niliambiwaga ni kingoni maana yake tuko wawili

Ngoja tumuite cocastic mlongo aje atufundishe
 
I know! right!? [emoji16] It's like showing the picture of a tiger to a wildebeest,,,
Used to believe we all have preferences, types and whatnot when it comes to these things kumbe sio...πŸ™„πŸ™„
Haya ngoja sie wengine tuendelee kuongeza washkaji na yetu na nyie muendelee na yenu🦴🦴
 

Inauma sana vile mwanamke anavyochukuliwa kwenye jamii . Sijui lini mambo yatabadilika , mwanamke akiachana na mumewe , watu wanaona yeye ndo mwenye makosa .. watu hawangalii kabisa tatizo lipo kwa nani .
 
Wakati mwingine inabidi 😁😁😁

Aje asaidie kuokoa jahazi 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…