EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,702
Kama unatoka Mbezi ukifika kwa Mangi usivuke daraja la juu la kwenda Mloganzila upande wa kulia.Chama ni kubwa kiongozi!
Ni umbali gani toka ilipokuwa wilaya?Kama unatoka Mbezi ukifika kwa Mangi usivuke daraja la juu la kwenda Mloganzila upande wa kulia.
Ukitokea maili1 upande huo wa k ushoto ukivuka Gogoni unaingia K'Shule then K'Chama kama unapanda public transport waambie wakushushe Kibamba Chama ukiuliza unaletwa faster tu hata kwa mguu kama sio mvivu
Hapo hapo ilipokuwa wilaya service roadNi umbali gani toka ilipokuwa wilaya?
Safi sana, tangaza bei kabisa mzee. Utapata clients wengi kupitia hapa, hasa wa Kimara, Mbezi, Kibamba hadi Kiluvya.Hapo hapo ilipokuwa wilaya service road
HahahaHumu kuna walokole sana aisee!
FlirtingYa kazi gani???
Haha ngoja niendelee kufikiriafikiria nikiona it's necessary kulianzishia uzi nitafanya hivyo au pia unaweza anzisha hata wewe labda ndiyo utaeleweka vizuriEm anzisha uzi siku moja; tusikie from men's perspective. Inawezekana sisi tumeshindwa kuwaelewa. Ila Mimi ninachoamini ni kwamba; urafiki wa dhati kati ya ke na me unawezekana kabisa, pasipo kuhusisha ngono.
Wakati mwingine unashindwa hata kumtreat me vizuri; maana ukimchekea tu anahisi huyu tayari ameshaingia laini, kumbe hata wazo huna
Mkuu mi mkaazi tu sio mfanyabiasharaSafi sana, tangaza bei kabisa mzee. Utapata clients wengi kupitia hapa, hasa wa Kimara, Mbezi, Kibamba hadi Kiluvya.
Tuko wawili ✌🏾Hii picha naingalia bado sijaielewa!
Hehe wanakuambia eti unatakiwa ujiongeze kwamba mwanaume akikuomba namba basi ujue hakuna kingine anachohitaji kutoka kwako zaidi ya pale kati tu! Pathetic!Sasa yeye atajuaje kama huyo mtu atamtongoza? Imagine mtu kakusalimia tu; unaanza kumwambia "sihitaji mahusiano kwa sasa". Kwamba Kila me anakuja tu kukutongoza? Au mimi ndiyo sielewi haya mambo, najifanya msemaji wa wanaume?
Kama sijaihitaji mpaka umri huu sasa hivi ya nini???Flirting
Hii tu inatosha, bia sio mpenzi..mimi na nyama tu!!Mkuu mi mkaazi tu sio mfanyabiasharaukija naweza kuelekeza chimbo ukapata nyama nzuri
Bia local ndogo hapa ni tsh. 2,000 za nje sijui maana sio mtumiaji, nyama
Mkono 10k
Salala 10k
Paja 15k had 14k
Mbavu 15k
Okay madam!Tuko wawili
Thanks admirer ☺☺Wamakonde wanasema "una rangi mzuri"
Haha dada ana nguvu huyu hatari. Nothing beats the "Avengers...Assemble!" scene.Wanda:You took everything from me
Thanos: i don't even know who you are
Wanda : you will
Few minutes later thanos cries like a little bitchView attachment 2165313
Huwezi kuelewa as hayo mambo kwako ni mbingu na ardhi.Mbona hayana ugumu wowote pops