Selfika na JF: Snap it. Show it

Whaaaaat?????

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa najua,, nikitaka kutongoza gia haibadiliki directly tu,, kuna vitu huwa vinaanza kubadilika,, siwez tongoza bila kuweka mazingira vizuri,, and presumably najua girls hujua kuwa kituo kinachofuata ni kutongozwa,, maybe kama wenu hubadili gia angani
 
Nimekuelewa tangu mwanzoni; but I was trying to say kuwa kuna exceptions. Kuna mtu anakutreat tu nicely, unaweza ukahisi na kutamani kabisa mtongozo wake; ila usiusikie kamwe; au akasubiri hadi siku mmeonana ndiyo akakufungukia. Na kuna wale wajinga wachache ambao approaches zao tu zinakufanya uwalime block.

Point yangu ilikuwa kuna wakati itakubidi usubiri mtu atamke ndiyo umwambie you are not interested, au kama itatokea kwenye stories mtaongelea mahusiano then unaweza kumpa hint au kwa wenye zile approaches zao za kidwanzi; wale unawachana tu hapohapo
 
That was my point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…