Usinifokee
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,502
- 3,522
Hapo msamala nilikuwa naenda kwa mngoni mmoja hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli Songea unapajua, mie kwa sasa sipo huko.
Nipo huku Jijini, ila kwetu ni Songea, Msamala..
Karibu tena Songea. Hahahah
π€£π€£π€£ wale dagaa jau sana kwa sie tusio wazaliwa na wakazi wa huko.ππ ndio
Kwanza ukiwaunga hawana ushirikiano wanabaki wamesimama wima wanakukodolea macho
Wanalamba tuiπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ wale dagaa jau sana kwa sie tusio wazaliwa na wakazi wa huko.
Hata ukiwaweka nazi, ni kama vile wanaamkaga wanalamba tui lote
πππππ ukome na ujifunzeJana Kuna mrembo mmoja alikuwa mkono wangu wa Kushoto Kila nilipokwenda alinipeleka, nikilipia vinywaji Chenchi alibaki nayo alisema ananitunzia. Saivi asubuhi simwoni Wala Chenchi hazipo π₯±π₯±π₯±
Next mtoko Bora uwe unanikampani wewe, hawa Mabinti wengine wataniua bureπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺ
Walamba tui aisee we ukija dagaa wametoa macho, rojo halina nazi π€£Wanalamba tuiπ€£π€£π€£π€£π€£
Nimechekaaaa
Hapo bado hujawala wagumuuu ka sjui nini. Hapana aiseeWalamba tui aisee we ukija dagaa wametoa macho, rojo halina nazi π€£
Piga na kucha basi tuone, ila usiweke hilo gizaSatadei πΉ
View attachment 2164713
Nimetamani viatuSatadei [emoji257]
View attachment 2164713
πPiga na kucha basi tuone, ila usiweke hilo giza
Handsome#SorryNOT SorryView attachment 2164597
Njoo uchukue πNimetamani viatu
Wewe kama mimiSiwapendi jamani, ila wakiwa wabichi wanavutia zaidi.
Hao wakavu hapana
Ni namba ngapi hiyo?mimi nina guu kubwaNjoo uchukue [emoji23]
Suruali si nimevaa? Ni 39Ni namba ngapi hiyo?mimi nina guu kubwa
Na suruali??
What a placeUkungu mvua plus baridiii flani.. ni mwendo wa mapambio tu.. Heaven Sent View attachment 2164613View attachment 2164614
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nadhani, Kuna muda nakumbuka nilipanda Jukwaani nikaanza kurusha hela kama enzi za pedeshee nanii....[emoji2957]
Alafu ilikuwa Kila meza niliwaambia wanywe chochote bill kwangu [emoji2957][emoji2957]
Usije ukatufia boss kwa pneumoniaKadri mda unavyo kwenda ngoma inazidi.. acha tupunge baridi tena kifua wazi au sio staff wangu mtiifu Heaven Sent πππView attachment 2164666
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi ni wakubwa
Kwa kinyakiusa tunasema 'Atuganile ndimbwelu asajile afwilile.....anganile!"
Maana yake.....Adults get what they want...always!