Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna kipindi tuliletewa ndoo nzima, aaah dagaa wabaya wale yaan wagumu unatafuna hadi meno yanaumaπŸ˜‚πŸ˜‚
Nikawachukia kabisa
 
Nadhani, Kuna muda nakumbuka nilipanda Jukwaani nikaanza kurusha hela kama enzi za pedeshee nanii....πŸ€ͺ

Alafu ilikuwa Kila meza niliwaambia wanywe chochote bill kwangu πŸ€ͺπŸ€ͺ
Mweeee
🀣🀣🀣🀣🀣

Heri lakini umebaki mzima, mzee mstaafu tutafute kazi ya ulinzi sasa uanze kukusanya nyingine
 
Mweeee
🀣🀣🀣🀣🀣

Heri lakini umebaki mzima, mzee mstaafu tutafute kazi ya ulinzi sasa uanze kukusanya nyingine
Jana Kuna mrembo mmoja alikuwa mkono wangu wa Kushoto Kila nilipokwenda alinipeleka, nikilipia vinywaji Chenchi alibaki nayo alisema ananitunzia. Saivi asubuhi simwoni Wala Chenchi hazipo πŸ₯±πŸ₯±πŸ₯±

Next mtoko Bora uwe unanikampani wewe, hawa Mabinti wengine wataniua bureπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…