Mimi napenda kweli kupaka hinna kwenye kucha na nunua zile ambazo zinauzwa madukani zimeandaliwa tayari na kweli kucha zangu ni fupi nikitaka kupaka rangi naongezea kidogo

Unakausha kwanza then unatwanga kupata unga wake mpendwa,Ukiachana na njia hii kuna dawa ya nywele inaunzwa maduka ya vipodozi kubadilisha nywele kuwa nyekundu