tycoonff
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 928
- 1,310
Yako ipo hapa kwenye friji. Na pilau ntakupikia.Acha uchoyo jamani
Yako ipo hapa kwenye friji. Na pilau ntakupikia.Acha uchoyo jamani
JamaniFanana sana naye...Mungu atakuwa alitumia udongo wa aina moja kuwafinyanga
Pilau ulopika umemaliza tayarii?!Yako ipo hapa kwenye friji. Na pilau ntakupikia.
Ahsante instagram









Lipo kidogo. Ila wewe ntakuandalia kitu fresh siyo cha kupashaPilau ulopika umemaliza tayarii?!
Wewe ndo marejesho eeehhh
Naomba picha ya Atoto
Huyo jamaa alisema eti wewe ndiyo utakuja kunijibu maana ya "mze mama"




HallelujahLipo kidogo. Ila wewe ntakuandalia kitu fresh siyo cha kupasha
Uko wapi kwani huko ambako hakuna umeme? Mi nipo tanga umeme umekatika pia
Ujue mecheka mimiii aki!! Na venye hakuna umeme Daaahh
Mie niko MuhezaUko wapi kwani huko ambako hakuna umeme? Mi nipo tanga umeme umekatika pia
Picha tafadhali
Umetuma??????Pm dada
Huku tanga mjini naona umeme umekatikaMie niko Muheza
Sijui ni luku imeisha, au umeme!
OoohHuku tanga mjini naona umeme umekatika