Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Usisahau kunitag mamiii...
Asante sana jamaniKaribu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hofu yangu wana jeif watasema ni zakudownload[emoji23] hawana jema
Siamini mimi jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]lakini nina uhakika tukilinganishwa mimi na wewe physically mimi ndiyo nitaonekana mkubwa kuliko wewe, amini kwamba.
Wewe nifundishe..Kwanini ufute sasa jamani?? Si unaniacha nikae nazo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ooh nimezikumbuka aisee. ..Zako ni nzuri zile
Hahaa umejuaje nilikuwa nayo. Imeisha labda nikuagizie yakoAsante sana jamani
Weka na mirinda nyeusi
Siamini mimi jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimezingatia vidole
Wewe nifundishe..
Nilikuwa nacheza " Yope" ndo narudi! Jamani mziki wa kucheza mwenyewe ni mzuriii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilijua tu lazima kuna mtu atakuja kusema anatamani awe hiyo jeans, btw utakuwa umevuka borders mkuu.
Acha uchoyo jamaniHahaa umejuaje nilikuwa nayo. Imeisha labda nikuagizie yako
Picha tafadhali[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ndiyo ukweli huo dada
Fanana sana naye...Mungu atakuwa alitumia udongo wa aina moja kuwafinyangaAbeee
Huyo mdogo wangu mimi jamani
Uje unifundishe mapozi ya kusimama mdogo wangu!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pale unapoambiwa picha ya Atoto ishafutwaView attachment 1248179