Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna wenzenu wanadanganya hasa wale wasio na utaratibu wa pete pete hizi.

Atakuja, utapetiwa
Utaingia mzima na viatu vyako, ukija kushtuka ni mume wa mtu [emoji1787] umekolea huwezi kutoka ghafla.

Na kuna wengine wanaokuwa wawazi tokea mwanzo..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wana experience na haya mambo uwiiiiih.
 
Kwamba muolewe na wenye utu ndio kuchungulia pembeni haitawezekana! Tunajitahidi lakini tunashindwa...hata Daudi na wenzake huko walishindwa.

Mkuu jana hukutupia selfie, ahadi ni deni.
Mambo ni magumu rafiki ..Mungu atusaidie kwa kweli ,kuchungulia kupo tu hakuepukiki .

Jana nilitingwa kidogo nikasahau ..ngoja nikutumie .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…