Selfika na JF: Snap it. Show it

Hiyo ndiyo zile mtu asubuhi anaenda ofisini anatoka jioni, jioni kanisani kwa nabii Abiud mpaka saa 4 usiku anarudi home. Kesho tena circle inaendelea.

Hapo sitaki kuingilia imani ya mtu [emoji2212][emoji2212]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dogo na wew akili smtyms zipo zipo eeh ...lakini haji kuteseka dogo note that
 
Kuna wenzenu wanadanganya hasa wale wasio na utaratibu wa pete pete hizi.

Atakuja, utapetiwa
Utaingia mzima na viatu vyako, ukija kushtuka ni mume wa mtu [emoji1787] umekolea huwezi kutoka ghafla.

Na kuna wengine wanaokuwa wawazi tokea mwanzo..
Ombeni muangukie kuzuri, na ombeni kuolewa na wenye utu, ndoa zilizoifikia sasa ni rahisi sana kumshauri mtu asiingie kwenye ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…