Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimesha i update lakini wapii, mwanamme anaona bora akaombe maombi kuliko kumpeti mume wake!
 
Ujue kuna ile ku play unafasi wa gf na bf hapa vizinga ni controllable. Na tunajilisha vizuri

Ila nikijua am mchepuko for 100% wallah hata vocha nashindwa jinunulia.

[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
Aisee hela zenu wanawake ngumu Sana Kama zimeshikana na roho..by the way nitafutie kabinti kakulea mwanangu joy
 
Kheeeh ulioa chini ya 20? Wee mbna ni noomaaah
 

Eh una moyo dear [emoji28]
 
Mhhh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko mie ndo gold digger? Aaaaaah jaman dhambi hizi uwiiiiih.
 
Nimesha i update lakini wapii, mwanamme anaona bora akaombe maombi kuliko kumpeti mume wake!
Hiyo ndiyo zile mtu asubuhi anaenda ofisini anatoka jioni, jioni kanisani kwa nabii Abiud mpaka saa 4 usiku anarudi home. Kesho tena circle inaendelea.

Hapo sitaki kuingilia imani ya mtu πŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈ
 
Me nashauri afate hiyo 1st option, aboreshe ndoa + amhudumie mkewe vema mbona atashine tu kila saa atakua na hamu nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…