Selfika na JF: Snap it. Show it

duh inaonekana kulikua na mjadala mzito humu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.
Yaan mwanaume ana pesa, kila kitu natimiziwa, afu.nianze kuhoji kaoa au hajaoa? Au nijue kaoa.afu.nianze kuyeyusha wee.

Ni.mwendo wa kuchuna buzzi.tyuuuj uwiiiih
Vibaya hivyo mjukuu. Kumbuka naye ana mke na watoto; na wazazi wa kuwaangalia. Huruma kidogo inahitajika![emoji16][emoji16]
 
Mama majarida shkamoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…