Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,419
Wasukuma tuko wengi sana sema tu tulichelewa kusoma. Sasa kidogo mambo yameanza kubadilika japo bado sana. Itachukua muda na juhudi za makusudi kunyanyuka ila nadhani sasa tumeanza kuendana na mwamko wa kitaifa. Kuna matumaini!Afu sio kisa hivyo,
Mie ni mentality yangu kuwa kila aliyepo ulaya km n mtanzania, bas ni Kabila hili, muhaya, mpare, mchaga, mnyakyusa.
Afu nimekuja kugundua kumbe niko wrong with, humu JF wengi walio ulaya n wasukuma, hongereni sana.
Nmemuambia coca ujue kutokana na comment yake , mm sidate mume wa mtu kwa kujua labda anidanganyeNiko nawasoma tu halafu.
Halafu mambo yakibumburuka mnaanza kulia lia eti ni victims ooh kanidanganya na kunipotezea muda wangu
Iv bado upo ng'ambo Shimba??Wasukuma tuko wengi sana sema tu tulichelewa kusoma. Sasa kidogo mambo yameanza kubadilika japo bado sana. Itachukua muda na juhudi za makusudi kunyanyuka ila nadhani sasa tumeanza kuendana na mwamko wa kitaifa. Kuna matumaini!
Hapo nimekusoma...japo bado siwezi kuamini eti binti kabisa na akili zako unaweza kudeti na mume wa mtu kula na kupakua halafu usijue. Inawezekanaje? Hata ratiba zake tu za kuja kwako huwezi kuzishtukia? Mitoko nayo?Nmemuambia coca ujue kutokana na comment yake mm sidate mume wa mtu kwa kujua labda anidanganyesasa mdada anadate na mume wa mtu no future kabisa na anajua n nini kitamuweka pale kama si kuangalia maslahi binafsi tu kwamba kuna mapenzi hapana bwana
Mko vizuri wasukuma hongereni sana, kesho picha babuuh ntakukumbusha yaan lol.Wasukuma tuko wengi sana sema tu tulichelewa kusoma. Sasa kidogo mambo yameanza kubadilika japo bado sana. Itachukua muda na juhudi za makusudi kunyanyuka ila nadhani sasa tumeanza kuendana na mwamko wa kitaifa. Kuna matumaini!
Ng'ambo wapi ndugu yangu mi niko huku Misungwi Mwanza. Kwa mabeberu nilishaondoka tangu mwaka jana Korona ilipopamba motoIv bado upo ng'ambo Shimba??
Hakuna shida mjukuuMko vizuri wasukuma hongereni sana, kesho picha babuuh ntakukumbusha yaan lol.
Mbona mie nilidate na mume wa mtu mwaka mzima na sikujua...sina hamu na nyie viumbeHapo nimekusoma...japo bado siwezi kuamini eti binti kabisa na akili zako unaweza kudeti na mume wa mtu halafu usijue. Inawezekanaje?
Kumbe...nilihis bado upo kule. Karibu tena TZNg'ambo wapi ndugu yangu mi niko huku Misungwi Mwanza. Kwa mabeberu nilishaondoka tangu mwaka jana Korona ilipopamba moto
Sasa unadate married man afu hana MPUNGA hayo ni matumizi mabaya ya dhambi hahaa
Ng'ambo wapi ndugu yangu mi niko huku Misungwi Mwanza. Kwa mabeberu nilishaondoka tangu mwaka jana Korona ilipopamba moto
Inawezekana babuuh kabisaa, km mchepuko sio mjanja na mfukunyuku yaan.Hapo nimekusoma...japo bado siwezi kuamini eti binti kabisa na akili zako unaweza kudeti na mume wa mtu halafu usijue. Inawezekanaje?
Anakudanganya huyooo, yuko zake california,Kumbe...nilihis bado upo kule. Karibu tena TZ
Wee babuu acha uongo wako bhana, si upo kwa Biden wee? MmmmhNg'ambo wapi ndugu yangu mi niko huku Misungwi Mwanza. Kwa mabeberu nilishaondoka tangu mwaka jana Korona ilipopamba moto
Et Shimba Ya BuyenzeAnakudanganya huyooo, yuko zake california,
Unajua nmemuuliza makusud aliniambia atarud kuanzia mwez wa tatu this year ndo mana nikahojiAnakudanganya huyooo, yuko zake california,
Wee sema kweli?Unajua nmemuuliza makusud aliniambia atarud kuanzia mwez wa tatu this year ndo mana nikahoji