Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sio kw sifa hizo dogo [emoji16][emoji1787][emoji1787]

Uke wenza unauweza wewe? Labda ki small house
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena mie ndo ntakua mama wa mjengo,
Wee mwenyew c unajua mambo yangu? Hahahahah
 
Utarogwa Wewe,
Nani akubali kuachia mjengo kisa mchepuko[emoji4]
Kabla yeye hajaanza kwangu, mie ntaanza nae yeye ndo maana ataniachia mjengo, tena kwa amani kabisaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom