Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,761
😊😊😊😊 mbichiii
Nimekesha kwa ajiri yakoChungulia fastaa.... leo nimewahi.
Nimekesha kwa ajiri yako
😊😊😊😊 mbichiii
Ulikuwa umenogaa midomoo unaweza... hadi ukatamani uondoke nayo 😀😀Wa mika 30 iliyopita hukoo.
Ewaaaa nasubiriUtapata na bonasi...☺☺
Mambo ya kukata upepooo 😊😊😊
Ulikuwa umenogaa midomoo unaweza... hadi ukatamani uondoke nayo 😀😀
Kwa kiss la kifrench ni 🔥🔥🔥🔥Aahahahahhahahaaa
Ndo urithi niliopata toka kwa bibi mzaa baba 😁.
Shangazi zangu ukiwaona sasa, wao ndo wameipata fresh fresh toka kwa mama yao..😊.
Mambo ya kukata upepooo 😊😊😊
Ewaaaa nasubiri
Safi sanaaa.. zoezi kinafanya inakuwa damuu motroo na components zingine za mwili zinakuwa fit 😎😎Aahahahahaa uchizi uchizi flani hivii na mdau wa JF 😅.
Baada ya kulipuliza na miguu kuanza kuwasha 😅.
Kwa kiss la kifrench ni 🔥🔥🔥🔥
Sio mbaya hata zuji KasieZimeisha labda nirudie za jana 😜
Kama ntakuwa sijazidiliti....
😀😀😀😀😀Aahahahhaaa thanks ila usiwarushe roho sana wanajamii 😅😅.
Safi sanaaa.. zoezi kinafanya inakuwa damuu motroo na components zingine za mwili zinakuwa fit 😎😎
zoezi tramuuu sanaaa jirani.. 😀Hujakosea hata kidogo....
Ni chakula cha muda ujao...
🔥🔥🔥🔥🔥 sanaaa mie hoi na midomo