Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwee hivi na mimi naombwa na watu niwapunguzie,dunia hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Ntapunguza nini sasa?

Subiri binamu nirudishe mwili..ntakugawia..
Lile Tako nilikuwa nalo form 5,,lakuvalia suruali na chenji ilibaki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole sana.. siku ingine unamcheki tu Fortnox mnatembea safi. huku unabadili mikao.. wish si uliugua kabisa.. alafu namchezo sana wa kuchukua vichwa CBE hadi kuna siku nikaoata abiria wa kudumu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…