Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwanza hyo ndinga RR bwana kuna siku tuko wa3 shosti etu mmoja alikuja nayo kwenye party mmewe alimuambia achukue tunatoka tbt tunaelkea makumbusho akaomba tumsaidie kuendesha tulikataa tukawaza tukigonga tuu!!bwana wee ila ndinga kaali mule ndani kama ndege afu tuko wadada na tulivo na sifa plus vurugu tukashusah vioo yaanisisahau ile siku Yale macho barabarani wanavutazama afu mziki mkubwaaaa!!!
Sasa nawaza Fortnox ndo kashanipandisha mamaaweee
Sasa uwe unaendesha wee hapo, mbna ni utraaamu.
Kuna shost anasoma IFM, alipataga kibopa ana range rover, afu shost ndinga hajui kuendesha wee, niliifaidi mie kusukuma daah.

Yaan anamuomba ndinga afu ananiita mie, dadeki nakanyaga mafuta huku nasikiliza truck za Vanessa mdee, awww nlkua nawehukwa mie, kusukuma ndinga raha bhana wee.
 
Back
Top Bottom