Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Hahaha apate tu hiyo , awe best student hapo Udsm .He he he!hutaki dogo apate 4.7 with honour[emoji2][emoji2]
Hahaha apate tu hiyo , awe best student hapo Udsm .He he he!hutaki dogo apate 4.7 with honour[emoji2][emoji2]
Fanya mazoezi sasa.. road trip yenu ilivyo ndefu muhimu ujue.. asee.. utapata uzoefu huko road.. na utaenjoy sana.. Utakuwa na mwanaume haswaa hautoishia kuliona utaishi humo. kipindi chote cha road trip 😊😊😊😊.. Fortnox umjengee kujiamini kwenye chumaBalaa na nusu nimeona gari nakiri sijaona km ile yule mwanaume ni balaa!!!yaani nikiyaona njiani natabasamu tu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]tutafuteni pesa !!!Mimi ile siendeshi labda iwe yangu au ya Mr.ila ya mtu weeee[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]na hivi muoga wa road na mvivu balaa sitakii
Chihokola choa fyaa, na padede hahahahWangoni/wamatengo,wanasema kiokola kimuishe
Sahii kabisa[emoji4][emoji28]
Mama J ni balaa
Anapendwa
Weehh!ile gari nikigonga nauza vibanda vya urithi vya buguruni na mbagala shostito!!Mimi vitz,ist na rumion wakilewa nawasaidia maana hata NMB ntatop nikigonga[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Sasa uwe unaendesha wee hapo, mbna ni utraaamu.
Kuna shost anasoma IFM, alipataga kibopa ana range rover, afu shost ndinga hajui kuendesha wee, niliifaidi mie kusukuma daah.
Yaan anamuomba ndinga afu ananiita mie, dadeki nakanyaga mafuta huku nasikiliza truck za Vanessa mdee, awww nlkua nawehukwa mie, kusukuma ndinga raha bhana wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana mlongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo sijaona yako ht mokoo[emoji39][emoji39][emoji39]Bina sio fresh
[emoji1547]Sahii kabisa[emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mweeeeeehChihokola choa fyaa, na padede hahahah
Nimekumbuka bibi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeonaaa?!![emoji4][emoji4][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan unaogopa kusukuma ndinga wee? Acha zako bhana khaaah.Balaa na nusu nimeona gari nakiri sijaona km ile yule mwanaume ni balaa!!!yaani nikiyaona njiani natabasamu tu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]tutafuteni pesa !!!Mimi ile siendeshi labda iwe yangu au ya Mr.ila ya mtu weeee[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]na hivi muoga wa road na mvivu balaa sitakii
Wow[emoji4]Karibu sana Selfika PondView attachment 2161053
Boss lady💞Karibu sana Selfika PondView attachment 2161053
Weuweeeeeeeh [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Karibu sana Selfika PondView attachment 2161053
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mweeeeeeh
Fortnox fanya maarifaaaNaisubiri kwa hamuu!!trip hiloo
Hatunaga taabu hukuu!ukiona kimyaa come zis wayAisee, Uzi una wadau balaa huu
Power and sexy wenyewe wanaiita hivoBalaa na nusu nimeona gari nakiri sijaona km ile yule mwanaume ni balaa!!!yaani nikiyaona njiani natabasamu tu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]tutafuteni pesa !!!Mimi ile siendeshi labda iwe yangu au ya Mr.ila ya mtu weeee[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]na hivi muoga wa road na mvivu balaa sitakii