Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Binti Abiud alivaa suruali?A year Ago
Binti wa Abiudi[emoji23]View attachment 2160593
Binti Abiud alivaa suruali?A year Ago
Binti wa Abiudi[emoji23]View attachment 2160593
Imagine ni last year mama mchungajiBinti Abiud alivaa suruali?
Hata wa mjini ushawahi kula ukoko ulio changanywa na maharage😋Ni malegendary tu wa kijijini ndio wanaelewa haya mambo ya kula ukoko[emoji23]
Huu alioonyesha Saint Anne ni wa ugali mkuuHata wa mjini ushawahi kula ukoko ulio changanywa na maharage😋
Huu ukoko wa ugali sanasana ni vijijini kwetu kule.Hata wa mjini ushawahi kula ukoko ulio changanywa na maharage[emoji39]
😋😋jamanii hivi Kuna siri gani kwenye ule utam wa ukokoHuu ukoko wa ugali sanasana ni vijijini kwetu kule.
Huu ukoko wa ubwabwa enzi za shule aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119],ukiweka na harage acha kabisa.
Nimekuelewa mkuuHuu alioonyesha Saint Anne ni wa ugali mkuu
Anavaaga za truck suit akiwa anapiga kazi za kuinama.Binti Abiud alivaa suruali?
Sijui uliwekwaga nini ule aisee[emoji23][emoji39][emoji39]jamanii hivi Kuna siri gani kwenye ule utam wa ukoko
Usiongee[emoji23][emoji23][emoji23]Sijui niongee[emoji1787]
Kabla sijawa yatima.Imagine ni last year mama mchungaji
Kumbe binti Abiud si wa mchezo mchezo
Nilimwambia anizibeBinti abiud [emoji173]
Mwambie mpiga picha asogee pembeni
Anaharibu picha
[emoji126]View attachment 2160073
Binafsi naupenda sana❤️Sijui uliwekwaga nini ule aisee[emoji23]
Nimepitwa na picha yako ya kipini..fanya hima msomali wetu[emoji3059]
Mweeeh [emoji134]Binafsi naupenda sana[emoji3590]
Picha ya kipini imekupita mpendwa siku nyingine my
Ukiweka na nini[emoji848][emoji1787]Huu ukoko wa ugali sanasana ni vijijini kwetu kule.
Huu ukoko wa ubwabwa enzi za shule aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119],ukiweka na harage acha kabisa.
AsavaliUsiongee[emoji23][emoji23][emoji23]
Tiririka kidogoAsavali
Nilitaka nitiririke[emoji1787]
Mboga za maharageUkiweka na nini[emoji848][emoji1787]
Back in the days, I rolled these streets,.......Umekumbuka nini mkuu.. maana sentensi ikianza tu na Daaah.. kuna jambo