Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
Kama kumsifia boss ledi ni kesi basi acha tu niipate kwa kweli[emoji3059][emoji3059]shos Anne Akili zake anazijua mwenyewe!
Chukua nyingi nkamu
Hata mie nisingekuunga mkono 😎[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa nawaambia twendeni tuwafukuzie nje kabla hawajafika mbali..hakuna anayeniunga mkono
Watu wamejificha[emoji1787][emoji1787]watoto wa kike ni matatizo.
Zamu yako sasaEwaa..
Endelea kuleta vituu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata mie nisingekuunga mkono [emoji41]
Wakiwageuka huko nje? [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mdojolela,,,,,siuli hata kwa bundukiNi mdojolela au kande? [emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mbna n mtamu sana khaaah.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mdojolela,,,,,siuli hata kwa bunduki
Ngoja nikutafutie japo mimi sio mdau wa picha, kwahyo ni zakutafuta sana.Zamu yako sasa
Kule mjini, mida ya jioni eeh?Mjini hapo Morogoro wanaweka viatu vizuri aisee
Nipo hapa kwa Adam Viazi 😎😎😎
Fanya hivyo rafikiNgoja nikutafutie japo mimi sio mdau wa picha, kwahyo ni zakutafuta sana.
Walinzi wenyewe wanalala[emoji1787]Mlinzi my foot
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya mambo ni usiombe.
Ofisini kuna mlinzi tena wa kampuni, kuna cctv na bado wajuba walituingilia.
Huo wizi uliachaga rumors sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mie huyu, huyo mwizi ataiba huku namtazama tyuuh, najijua sina nguvu hata ya kusogea alipo. Uwiiiih.Mlinzi my foot
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya mambo ni usiombe.
Ofisini kuna mlinzi tena wa kampuni, kuna cctv na bado wajuba walituingilia.
Huo wizi uliachaga rumors sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walinzi wenyewe wanalala[emoji1787]
Ni muda toka niwaoneKule mjini, mida ya jioni eeh?
Wacha wee.Wakati bado kijanaView attachment 2160429
Nani hapendi usingizi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmmmmh. Hapana siuwezi, nimewahi kuula mara moja tu,,vile sukari sukari ya mahindi hapana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mbna n mtamu sana khaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah.Tena na kitu kizito mkuu
Jirani mwingine wamepasua vioo..alilock..wamebeba tv[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mie huyu, huyo mwizi ataiba huku namtazama tyuuh, najijua sina nguvu hata ya kusogea alipo. Uwiiiih.
Usinitishe plz bhana wee.