Selfika na JF: Snap it. Show it

Mbele uliko sema kuzuri sana sijapata picha yake clear…

Una nywele aisee πŸ₯°

Yan hapa tumejaa church ladies, we tumwagie tu dizain mbali mbali za mishono tuibie ibie dear.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ emu nitoke hapa

Inatibu nini kwanza?

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… wenye miili yenu gokodotikom
 
Mbele uliko sema kuzuri sana sijapata picha yake clear…

Una nywele aisee

Yan hapa tumejaa church ladies, we tumwagie tu dizain mbali mbali za mishono tuibie ibie dear.
asante my dear
Dawa tu ndo zinatuharibia nywele jmn!
OK dear! Kumbe tunafanana kwa sehemu!
Ss hapa kuweka ya mbele majanga ngoja nione km naweza,ila ni mikanda miwili kwa mbele kabisa mirefu ambayo unaweza funga design yyt unayotaka!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ emu nitoke hapa

Inatibu nini kwanza?

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… wenye miili yenu gokodotikom
🀣🀣🀣 utoke kabisa ndio

Hahaa ukimuona tena anakunywa em muulize

Gokodotikom for life babyyyyyyπŸ˜‚
 
🀣🀣🀣 utoke kabisa ndio

Hahaa ukimuona tena anakunywa em muulize

Gokodotikom for life babyyyyyyπŸ˜‚
Mwee
Emu sema, yule mtu sina pa kumuingilia 🀣🀣

Hahaaaaaaaa uwiiiii
NalogOff πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Unaiwekea emoj usoni tu πŸ₯°
asante my dear
Dawa tu ndo zinatuharibia nywele jmn!
OK dear! Kumbe tunafanana kwa sehemu!
Ss hapa kuweka ya mbele majanga ngoja nione km naweza,ila ni mikanda miwili kwa mbele kabisa mirefu ambayo unaweza funga design yyt unayotaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…