Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaaa..mie nakutania tu mkuu nawawezea wapi hata! Siwawezi Nyie pambaneni na kina Anne tu mie mzee siwawezi!
Wazee ndio nawataka wanasema nyani mzee amekwepa mishale mingi.

Nasikia mna skills na experience, halafu hio figure sio ya mzee, we nambie kama upo singo nijue la kufanya basi.
 
Mwee wa 5.7 nawajua
They are not that tallest ya kufikiwa viunoni [emoji1787]
Maybe weight matters
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena sijui nijipe 6 kabisa


Sasa wewe unaona 5.7 mfupi wakati mtaani tumekaa na Watu Wana 4[emoji846]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…