Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaaa..mie nakutania tu mkuu nawawezea wapi hata! Siwawezi Nyie pambaneni na kina Anne tu mie mzee siwawezi!
 
Basi iwe biashara ya kituo Cha mafuta, hopefully Ile milioni 200 uliyoanza kuitunza kwenye kibubu miaka Ile itatosha kufanya mtaji 💪💪
Inabidi niongee na washkaji zangu wa UKOD waniambie kama tu'million 200 tunatosha kuanzia au nijiendee zangu vacation kuzitumbua.😄😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…