Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa Mimi navyopenda huo ungongoti. Hata kiatu chako naona unavaa size ya kawaida tu; Mimi 41

Miguu ya kiafande sele

Hatupo mbali,Mimi ni 39 na 40 ..inategemea na kiatu chenyewe ila sanasana 39.
Nina bonge la guu yaani.


Dah nikivaaga viatu virefu unakuta nipo kule juu...nikiangalia tule tutoto naimba Nato,tunaniangalia Kwa mbaliii kule juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…