Hamna bwana don't take it serious was joking by the way hata Mimi natembelea miguu tu [emoji4]Uyu fortnox kanichekesha Sana'a!
Shida wana jf wote wana magari[emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28]kasoro Mimi tu
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Mungu ampe tahfifuuGiving is a reminder of our own blessings! View attachment 2158611
Please support our friend Esteri in whatever way you can [emoji1488][emoji1488]
5mills my friend alipata vitz kazuuri mwaka wa tano huu namuona nacho!!!Unacheka nini IST hata used mill 7
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]jus kidding duude!!!!maisha ni haya hayaa!!!usijali nakuelewaHamna bwana don't take it serious was joking by the way hata Mimi natembelea miguu tu [emoji4]
Vidole kama tangawizi aaahKwanini sasa[emoji1787][emoji848]
Kwa nini?teh [emoji1787]
Nilikuwa nafurahia sana
Hizo herufi 3
[emoji1787][emoji1787]
Niko sasa...[emoji1635][emoji1635]
Same time....[emoji4].
AiseeKwani Mkuu humwamini Karma , Saint Anne na Madame B niliwahi kusikia mahali wako vizuri sana kwenye Geography π
ππ kama dili manguo marefu.. Adamu na Eva wangelishwa hizo.. ila tunaona walikuwa uchiii. na walipo zingua Mungu akawapa vinguo vya ngozi.. Dhambi kubwaa ambayo ni hatari ni PRIDE hii ndio kimeo.. hii ndio hata ilimtoaga shetani kwenye nafasi yake.. hakuzini hakuvaa vibaya wala nini.. kwa moyo wako utanikutaga peponi na escort ya malaika wenzakoTupia hata vesti malaika wasije wakabaki kukuangalia badala ya kukusikiliza ππ
Ila bora tu jamani....maaana....π₯΅π₯΅
Ewaaa... na mie napenda sana kuendesha.. share location tukipata hapo tukazurule π€ π€ π€Napenda kuendeshwa[emoji4]sana afu Mimi niwe nampisha story dereva tufike sehemu tupaki,tuongee tu then tuanze tena safari!napendaga sana
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Hapo napo karibu sanaaa.. π
Punguza kujificha Madame, umepishana na deal kubwa hapa π€ͺAisee
upo?Aisee
Ndiyo, nikuhakikishie hao Wazungu hata kama wangekuja na sadaka za hela nyingi Kanisani kwetu wangezuiliwa nje Kwa mavazi hayo
tehKwa nini?
Makes sense!!!πππ kama dili manguo marefu.. Adamu na Eva wangelishwa hizo.. ila tunaona walikuwa uchiii. na walipo zingua Mungu akawapa vinguo vya ngozi.. Dhambi kubwaa ambayo ni hatari ni PRIDE hii ndio kimeo.. hii ndio hata ilimtoaga shetani kwenye nafasi yake.. hakuzini hakuvaa vibaya wala nini.. kwa moyo wako utanikutaga peponi na escort ya malaika wenzako
Naomba chai ππ