Tojo
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,810
- 3,087
Napitapo![]()
Njoo
Napitapo![]()
Unaona sasa ulivyo muongoUlimwona yule Mzee aliyekuwa akitoa ushuhuda Leo, amevaa Miwani? Was me![]()
..

Nice observation mkuu. Nobody cares about mavazi. Tena siku zingine hata mchungaji mwenyewe anatinga madhabahuni na jeans mchaniko hizi za kisasa na vitisheti vya kubana. Nadhani ndiyo kwenda na wakati sijui.Wenzetu wako huru sana kwenye mavazi, yaani wanaingia church na pensi hivyo then wanakaa front seat kabisa![]()



Wazee huwa hawadanganyi 🤪Unaona sasa ulivyo muongo..
Ilikuwa ni tamasha la uimbaji
I always pray for you and your family. Praying for someone is the ultimate demonstration of selflessness, love, kindness and care. Thanks for your prayers too. I have seen God move because of them; and I am eternally grateful mtumishi mwema wa MunguMt
Mtumishi uniombee na mimi



Nadhani Walimu wangu wa Sunday school pamoja na kunifundisha kumjua Mungu pia walinishape kwenye uvaaji pia.Nice observation mkuu. Nobody cares about mavazi. Tena siku zingine hata mchungaji mwenyewe anatinga madhabahuni na jeans mchaniko hizi za kisasa na vitisheti vya kubana utafikiri Cocastic. Nadhani ndiyo kwenda na wakati sijui.
Ila mimi binafsi siwezi kwenda kwa Mungu shaghalabaghala. Ni pigo za ki-Abiudi Misholi mwanzo mwisho. Heshima!![]()
Do not TRUST THE KITCHEN.
Does GOD care though 🤔Wenzetu wako huru sana kwenye mavazi, yaani wanaingia church na pensi hivyo then wanakaa front seat kabisa 🙆
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nice observation mkuu. Nobody cares about mavazi. Tena siku zingine hata mchungaji mwenyewe anatinga madhabahuni na jeans mchaniko hizi za kisasa na vitisheti vya kubana utafikiri Cocastic. Nadhani ndiyo kwenda na wakati sijui.
Ila mimi binafsi siwezi kwenda kwa Mungu shaghalabaghala. Ni pigo za ki-Abiudi Misholi mwanzo mwisho. Heshima!![]()
Definitely He doesn't. Sema tu ni tamaduni za watu huku na huko...na common sense tu. Kwamba usivae mavazi ambayo yanaweza kumkwaza mwingine kwenye ibada yake...Does GOD care though![]()
He/she doesn't care except Good heart.Does GOD care though 🤔
In my prayers always..... Indeed He is our faithful God....I always pray for you and your family. Praying for someone is the ultimate demonstration of selflessness, love, kindness and care. Thanks for your prayers too. I have seen God move because of them; and I am eternally grateful mtumishi mwema wa Mungu
View attachment 2158418
Mimi leo nilikuwa mtoto wa Mfalme Zumaridi 🤣🤣🤣🤣🤣