cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,288
- 187,945
Skuna imekaa mahali pake, na imekutoa mcharooo mama malezi.Abeeee. Narudi kuendelea na IbadaView attachment 2157746
[emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590]
Skuna imekaa mahali pake, na imekutoa mcharooo mama malezi.Abeeee. Narudi kuendelea na IbadaView attachment 2157746
Huo msumari dada 😻Abeeee. Narudi kuendelea na IbadaView attachment 2157746
Halafu nafika mpaka bombii nyumbii peramiho kwa jenista mhagamaMuongo tyuuh wee, c ungenambia bas ningepata na lift, nigekuacha njombe, mie ningeteremka bondeni zaidi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ukiamua; unaweza mbona mdogo angu.Huo msumari dada [emoji76]
Nikiwa mkubwa nitajaribu kutembelea msumari mwembamba hivyo.
Khaa nitanesa nesa bure 🤣Wewe ukiamua; unaweza mbona mdogo angu.
Sasa cheki si ungeniacha pale town nawee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu nafika mpaka bombii nyumbii peramiho kwa jenista mhagama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khaa nitanesa nesa bure [emoji1787]
Asante dogo next time usicheze mbaliSasa cheki si ungeniacha pale town nawee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan ningepata bonus hadi homeee, unaenda jimboni kwetu.
Poaaah safar njema, Mr V8 na RR.
Tatizo in4 tyuuh, afu mie ndo ntakanyaga mafuta au? [emoji23][emoji23]Asante dogo next time usicheze mbali
Nikitoka huku nakuja Dom andaa tumbo la nyama na bia au unakaa dodoma vijijiniNipitie Dom hapa![emoji1][emoji28][emoji28]navopenda safari kama kiwavi
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Hahaha dogo hizi sio vits hizi zinataka mzoefu [emoji28][emoji28]Tatizo in4 tyuuh, afu mie ndo ntakanyaga mafuta au? [emoji23][emoji23]
Nna uzoefu nazo bhana wee, had RR nshawahi kusukuma. Sema ilikua short trip tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha dogo hizi sio vits hizi zinataka mzoefu [emoji28][emoji28]
Anaehusika na hili shelf kaz anayo[emoji2][emoji2][emoji2]
Ooooh poleeeh sana.Ooh thanks [emoji7]..
Nipo poa kiasi japo nina mafua makali vipi wewe dear ?
Mwenyeji wee sikuwezi, [emoji23][emoji23][emoji23]
Ooh thank you ..Ooooh poleeeh sana.
Mie niko poaaah [emoji7][emoji7]
sio mm, ni Godfred Mbanyi[emoji16][emoji16]. Nikipata sitokusahau. Mm nimepiga naye picha tu, huyu mkurugenzi.Ndo wee huyu umepata teuzi, siwezi pata nafas ya u chawa? Au mfagia ofisi. [emoji23][emoji23][emoji23]