Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Yo yote tu itanifaa...na miwivu ni kawaida tu
Tumetoka mbali bageshi![]()
Okay Simbaa, kaa mkao wa kiwi cha macho...
Sekunde 3 tuu chaap. 😁
Yo yote tu itanifaa...na miwivu ni kawaida tu
Tumetoka mbali bageshi![]()
Nakujua wewe. Kamba sana. Wala sitii matumaini aisee...Kiwi cha macho. Kama cha Chonya of Chilonwa me!Okay Simbaa, kaa mkao wa kiwi cha macho...
Sekunde 3 tuu chaap.![]()


Nakujua wewe. Kamba sana. Wala sitii matumaini aisee...Kiwi cha macho. Kama cha Chonya of Chilonwa me!![]()
😍😍lips 👌Simba, Usipotia makini imekula kwako...😅😅😅
Sekunde 3 chaap.....
View attachment 2157359
View attachment 2157360
Harakati za kuelekea Masaki....
View attachment 2157362
Tatu kavuu za Kasinde...
"I am take this child to hospital. If police come tell him Chonya of Chilonwa me!"Simba, ushawahi kuona mtoto anamuaibisha mzazi wake ugenini...?
Chakula kinaletwa mzazi anajihami, yaani huyu Kalunde hapendi kula mpunguzie hiko chakula hapo atachezea tuu akimwagemwage chini...
Mwenyeji wake anamwambia acha tuu akibakisha tutaweka kwenye friji, hivyo chakula kinaachwa kiwango kilekile....
Subiria sasa mtoto anaondoka kama yuko kwenye mashindano ya kula anamaliza chote....
mzazi anapiga funda la mate huku akijisemesha khaaa...! Huyu mtoto leo maajabu kamaliza....
Kalunde: antie, can I have some more...
Kiwi cha macho....![]()
Umefuta niko hapa hapa dah!
Imenipita mkuu japo nipo hapa hapa!
"I am take this child to hospital. If police come tell him Chonya of Chilonwa me!"
Kiwi cha macho - kuona yasiyokuwepo. Kuwa na matumaini yenye ombwe. Kuota ndoto zisizo na uhalisia...Utata wenye fundo...nguzo ya barafu iliyofanywa kuwa ndiyo nguzo kuu katika jengo la moyo huu mkunjufu usio na mawaa!
Oooh! Kiwi cha macho!
Kasie Matata...
Kasinde (Mshindi!)....
Aisee pole mkuuImenipita mkuu japo nipo hapa hapa!
Umefuta niko hapa hapa dah!
Haya bana. I give up!
Kiwi cha macho!
Kisicho ridhiki hakililiwi....
Amen to that...You give up okay....!
Cheers to kiwi cha macho.![]()
Yana mwisho hayaaa!
(Kuli - Shafi Adam Shafi)
Imenipita mkuu japo nipo hapa hapa!
Sijaona bana!Nautamani huo mwisho....
Hebu kuwa siriasi Simba, ni kweli hujawona...!!!??
Kisicho ridhiki hakililiwi....
Ukikililia kinaweza kukuliza...
Kiwi cha macho!
Kiwi cha macho😍😍View attachment 2157373
View attachment 2157374
View attachment 2157375
Shimba Ya Buyenze
Kiwi cha macho foevaaa....🤩.