huna hata maajabu, unamkosa mtoto mkareee hivi hivi, umezoea vya kunyonga, vya kuchinja unashindwa hapa, daaaaah maskini lect wa watu anaangusha tasnia yake. Woiiiiii
huna hata maajabu, unamkosa mtoto mkareee hivi hivi, umezoea vya kunyonga, vya kuchinja unashindwa hapa, daaaaah maskini lect wa watu anaangusha tasnia yake. Woiiiiii
Walianza Manchester utd juzi kati kuimba wimbo wake.
Walipofungwa,Mpira ulivyofika dakika za mwisho;Kuna jamaa akasema man u inukeni muanze kuimba wimbo wa Abiudi
"Teenda muujiza
Teenda muujiza
Usiache Bwana
Mwaka huu upite
Bila ku teeenda muujiza"
Alikuwa ameandika kwa kuivuta hiyo tenda kama anaomba vile.
Nilicheka nilitaka kupasuka.