Ulimpa kidogo???![]()





sio kidogo sanaaaaaaah, kwan nilinunua au kukopa hii? Si nilipewa bureee? Why niwe mchoyo sasa?Halafu tako aje kuenjoy mwingineNipe mapene nisepee huko,![]()

Kwa exz gan sasa nawee, toka hapa lolNashukuru Exs zangu wamelala wote![]()





Daaaahsio kidogo sanaaaaaaah, kwan nilinunua au kukopa hii? Si nilipewa bureee? Why niwe mchoyo sasa?

Sema nikiwaza pale kitandani, bora nibaki ukimbau mbau nifaidi mema ya bolo YangPole mwaya
Hebu anza squats butt itakuja tu yenyewe .






Coca is such a darlingAchana nae huyo



ilikua kwa Nia njema tuMuambie huyo,.Coca is such a darling




Coca is such a darling

DohMuambie huyo,.
Mie nawee tena, atashindwa yeye![]()
Haha vyema kujikubali hivyo ulivyo .Sema nikiwaza pale kitandani, bora nibaki ukimbau mbau nifaidi mema ya bolo Yang![]()
Khaaaa umeanza eehNisikilize mie, usije sema sikukuambia lol![]()