Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mie kwangu ni burudaan toshaaa, afu mie unizoee tyuuh yaan.
Ndo nipo hivi hivi, mama mwenyewe kashindwa, sasa nikikaa nae kuzungmza utasema rafk angu sio mama. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Afu watu wana enjoy kinoma kukaa na mie, siboi sikeri. Full aman na furaha yaan. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe tena[emoji28]
 
Well napenda hivyo ulivyo so sweet , affectionate na charming too .
You're not boring at all, I love your personality coca
 
Huyo sio mtoto wa 2nd yr? Ni mtu mzima na mtoto wa kishua, yu knou iti? Usidhan ukimdanganya na 30 ya saloon ndo atakuelewa lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shosti mie sio wa kishua [emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom