God honors marriage ; ndiyo maana hata alifananisha uhusiano wa mke na mume; na uhusiano wa Kristo na Kanisa. Changamoto nyingi sana zinakuja kwa sababu ya kuvunja misingi ya familia. Na shetani since anajua jinsi Mungu anavyoiheshimu ndoa; na zaidi ndoa ni kusudi la Mungu; hatoacha wanandoa waishi kwa amani; changamoto kama zote. Ndoa/familia ikiwa utulivu; utaona hata kwenye nyanja nyingine kuna utulivu pia; ndoa/familia ikivunjika; madhara yake tunayaona. Tunaishia kuishi kinyume na mpango na kusudi la Mungu; na kilicho nje na mpango wa Mungu; aisee utaona jua litakavyowaka