Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Love iz byurifuuuu

Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama wewe bina[emoji3059]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vita zangu utaweza bina...!!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji1]nikipenda nafalll mpk nakua mwehuu ila nikiacha naacha kama sijawahi kukuonaa!!!
Ile unaulizea huna kwenuuu!!!!maana sio kwa matukio hayoo unayopigwa

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Oooooh hapo sawa mlongo, ila daah najisikia vibaya wazazi wakiachana, huwa tatizo kwa watoto [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Na kuna mazingira ambayo ni even worse kwa watoto; hata kama wanalelewa na wazazi wote wawili. You simply traumatize the innocent kids. Na wakati mwingine ni bora tu muachane kuliko kuja kuchomana gunia za mkaa
 
Yaani wewe ndio mimi kabisa[emoji3059]
Mtoto wa mtu asije tu niletea drama jamani...mbona ntachizika kwa stress..ukizingatia huyo mtoto wa mtu ndio nategemea awe baba[emoji27].


Mungu ni mwaminifu sana.[emoji120]
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]na fasihi nafikiri ndo ilitumika na kina Aristotle kipindi hiko kufikikisha ujumbe kwa watawala
Unaandika vzr sana yaani una maarifa mapana sana tena mnoo!!

Karibu sanaa tena sana watakuwepo wanakusubiri kwa hamu ankoo!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Ya nini sasa??
Tule kwanza ugali wa nyumbani..
Huu siyo muda wa kutafuta matatizo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1][emoji1][emoji2][emoji2]Anne una nini lakini na ni matatizo kwelii!kudili na mtoto wa mtu meno 32 kaahhh

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1][emoji1][emoji2][emoji2]Anne una nini lakini na ni matatizo kwelii!kudili na mtoto wa mtu meno 32 kaahhh

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Bora hata awe na mapengo ntamuelewa

Ila mwenye meno yote dah[emoji27]

Dunia hii
Watu wazuri ndio wanaumizwa[emoji26][emoji26][emoji119]
 
Baby mama wangu alinizunguka aisee. Akaenda akamchimbia mama kisima cha maji bila mimi kujua. Na vitu vingine vingi. Sikukuu zote mimi siombwi kitu kumbe ni mwinga wake keshafanya. Yaani walikuwa wanapendana hatari. Mpaka mama akiumwa anatafutwa yeye kwanza na siyo mimi...hata baada ya kutemana naye bado wakabakia kuwa karibu; and this was super awkward to me. Yaani alikuwa anamwona kama binti yake kabisa. Mpaka wengine wakawa wanasema pengine kwa vile mimi ni kitinda mimba basi alikuwa amehamishia upendo huo wa last born kwa huyo binti.

Kwa hiyo naelewa sana shem. Wakikupenda hawa wazee basi wamekupenda na wakikuchukia mtiti wake pia ni shida...Ni lazima pia shem una roho njema, mwenye heshima na upendo. Vinginevyo msingeelewana hivyo. Hongera shem!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…