Selfika na JF: Snap it. Show it

Hakuna kurudi..tunasonga mbele kama injili ya paulo.


Mama mkwe hawanaga shida kabisa..
Viguruwe vyao sasa ndio vichomi.

Huyo mama atakuwa anamshangaa mwanawe alivyo hamnazo kukuacha.
Wallahi sijisifu mstari wa mwisho ndo ilivyo yaani!!namheshimu to core mpk mwinga mmoja ashawahi uliza huyu mama Minza mbona anapendwa japo hayupoo!w
Naweza kua nilikua na weakness zangu nyingi pia siwezj sema!
Ila wamama wa kisukuma wakikupenda utakula vyan ndani ,shimba,wigeleko na t elly ,wamama zenu wako poa sana hongereni

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Hongeraaaaah mlongo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…