Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji2][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ila dogo unanifurahisha Sana'a!![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kichapo ni kupendeza sanaaa mpk apagawe

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Huyo bwege asingepata hata jeuri ya kuja kubwabwaja eti' usizae tena'
Kubabake...ningemng'oa mayai yake[emoji23]
 
Hakuna kurudi..tunasonga mbele kama injili ya paulo.

Mama mkwe hawanaga shida kabisa..
Viguruwe vyao sasa ndio vichomi.

Huyo mama atakuwa anamshangaa mwanawe alivyo hamnazo kukuacha.
Mtakatifu unavyoongea sasa. Subiri uingie ngomani bana - ngoma ya vurugu. Ngoma isiyo na mpangilio. Ngoma ya wehu (in Kezilahabi's voice), yenye midundo mchafukoge. Ngoma ambayo mchezaji mwenza ni "guruwe pori". Kama nakuona yaani na huu ubishi wako itakuwa burudani tosha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099]
 
Atajua hajui. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom