Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna tapeli amenipigia simu
Kweli maisha ni magumu mtaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa sijui anataka kunitapeli nini wakati hela sina.

Nimemsikiliza weee Hadi mwisho nikamwambia asihangaike sana mimi hela sina.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie jamam khaaah,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah nacheka km chizi hapa uwiiiih
 
Ameeeeeeeen!!!!
 
Hivi smile la bosi ledi umeshaliona lakini???[emoji12][emoji12][emoji12]
Hapana jamani[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
I cant wait wewee[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji108]
Twende kazii[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Nikifika home nitakufafanulia maana ya majina haya na muktadha wake.

Mpwa ilibidi ajifunze ili aweze kuongea na bibi yake kwa sababu bibi alikuwa hajui lugha nyingine. Mpwa alikazana mpaka wakawa wanaelewana kabisa hata kusimuliana hadithi za Kisukuma, kuimbiana nyimbo na michapo mingine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…