Selfika na JF: Snap it. Show it

😎😎😎 mwanangu nipo kwa wini hapa nimetoka saloon napata maji baridii ya hill
 
Umenikumbusha ShekelπŸ™‚...sijui nilipotezea wapi nilizokuwa nazo πŸ˜”πŸ˜”

Nigawie zako kidogo nione kama zinanoga ndo nijiunge 😁😁😁
Weeeee unapoteza shekeli 😬😬😬.. zisake

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na zinanoga sana hasa kwenye withdraw.. mfano majuzi nimetoa mpunga.. nacheki usiku wa saa saba ka massage ka ABSA twii.. kucheki hivi mzigoo huuo.. asubuhi nimeamka ninacheka tuuuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…