Still gorgeous na wembamba huo ..Nikivaa suruali au bukta, ndo u skeleton haupo, ila kwa picha ile ya jana ni msukulee kabisaa, mifupa nje nje khaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu kwani bhana khaaah.Kidole cha pili ni kirefu
Wewe ni [emoji95][emoji95]
Bado sijamaliza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu kwani bhana khaaah.
Sifa tyuuh, si utulie kimya, nawee post vidole vyako.
Mie ameshanizoea mbna ndio pigo zangu, bukta, suruali. Kipusa,Ngoja Saint Anne
Asome hii comment [emoji1787]
Eti ukivaa bukta
Inakuwa nini[emoji1787][emoji1787][emoji848]
Cheusi[emoji1787]Hamna bhana mie cheusi najijua camera tu hizi .
UnafiqMie ameshanizoea mbna ndio pigo zangu, bukta, suruali. Kipusa,
Wala hashangai, huoni ile ya juu hata hajashtuka yaan, yeye anakataa unafiki, tatizo hamumuelewaagi, anyway tuache hiyo mada.
Portable hoyeeeeh, watu wanataka African figures, sio English figures kipenziiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Still gorgeous na wembamba huo ..
Nilivyokuwaga mwembamba nilijiachia sana hebu enjoy na mwili huo kiportable .
A wapiSijakuhujumu mama mchungaji nilishangaa tu ulipotelea wapi sababu wakati narusha hapa nilikuona upo nikahisi unazichukua kimya kimya na nilikutag kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii rangi
Haijawahi kushika jembe
Haijawahi kuishi mbinga
Songea ilipita tu bahati mbaya
Halafu nimeshaandaa lokeshen
Gemu la kirafiki
Nn SasaWacha wee bas sawaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakudai dogoWee mbna yako hata hujawahi kuweka hapa? Msieeeew
Sitaki hii mada hapa, utajijua mwenyewe, hebu selfika hata miguu nawee lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unafiq
Kwamba[emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anavaa kama walioshindikanika kwao[emoji3]Ngoja Saint Anne
Asome hii comment [emoji1787]
Eti ukivaa bukta
Inakuwa nini[emoji1787][emoji1787][emoji848]
Nyie English figure ndo wazuri sasa ..Portable hoyeeeeh, watu wanataka African figures, sio English figures kipenziiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunavumilia tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee leta tyuuh uchizi wako, mie kichaa haya tyuuh.Bado sijamaliza
Usiwe na haraka
Taratibu
YaaniSitaki hii mada hapa, utajijua mwenyewe, hebu selfika hata miguu nawee lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pombe sawaUnafiq
Kwamba[emoji848]
Kipenziiii umetoka mcharoooh, ndani ya nguo za staha, hakika mwanamke wa ki Africa, [emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman jaman.Anavaa kama walioshindikanika kwao[emoji3]